Loading...

SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK.

Loading...
SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK.
link : SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK.

soma pia


SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK.

Captain msaidizi wa timu ya New York, Elisante Shayo akikabiziwa Jersey na malikia wa nyuki wa timu ya New York tayari kwa mchezo wa jumamosi zidi ya D.C

Timu ya New York Tanzania Community( Nyati) wapo tayari kwa mchezo wao zidi ya timu ya Watanzania kutoka Washington D.C jumamosi hii ya Tar 15. 
Kuanzia saa nane mchana katika viunga vya Lincoln Park, Nj, Mchezo huu ni wakukata na Mundu na siyo wa kukosa maana historia ya machungu ya timu New york siyo ya kubeza kutokana na kupokea kipigo cha nusu dozen miaka miwili iliyopita vijana wamesema labda hitokee tu safari hii D.C watatafutana na kama siyo kutafuta njia ya kutokea uwanjani baada ya  kupata kipigo na vijana wa New York watakae ongozwa na vijana wenye damu mchanganyiko kutoka vyuo  vya mafunzo.  Vijana wamejitolea kuwafuta machozi wapenzi wao watakaokuwa wakiwachagiza  kwenye uwanja wanyumbani siku hiyo. Kabla ya Mchezo mwamuzi ataanza kukagua (Identity Card ) ya kila mchezaji ilikuondowa utata wa kupata watalii wasiokuwa na tija ya kizalendo, kwani Uzalendo wa Kitanzania kwanza.

Address ni hii : 


Hivyo makala SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK.

yaani makala yote SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/summer-bbq-sat-july-15-2017-new-jersey.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SUMMER BBQ SAT, JULY 15, 2017 NEW JERSEY, NEW YORK."

Post a Comment

Loading...