Loading...
title : TAARIFA YA MSIMA WA PROF. HENSLAY KABISAMA
link : TAARIFA YA MSIMA WA PROF. HENSLAY KABISAMA
TAARIFA YA MSIMA WA PROF. HENSLAY KABISAMA
Ndugu, Jamaa, Marafiki ,Familia na wote tuliopatwa na msiba huu wa marehemu Professor Henslay William Kabisama uliotokea huko Marekani Ontario ,California .
Familia itawasili kutoka Marekani siku ya Jumatano tarehe 19th July usiku.
Tutaanza maombolezo siku hiyo hiyo ya Alhamisi ya tar 19 nyumbani kwa marehemu Ursino Victoria nyuma ya Ofisi za Halotel.
Siku ya Ijumaa tar 21 July Mwili wa mpendwa wetu Prof Henslay Kabisama utawasili siku ya Ijumaa, tarehe 21st July saa tisa mchana.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 22nd July. Ikitanguliwa Na Ibada ambayo itafanyika katika kanisa la St Alban Upanga saa saba kamili mchana na baada ya hapo tutaelekea makaburi ya kinondoni kwa mazishi.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina bwana libarikiwe.
Hivyo makala TAARIFA YA MSIMA WA PROF. HENSLAY KABISAMA
yaani makala yote TAARIFA YA MSIMA WA PROF. HENSLAY KABISAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA MSIMA WA PROF. HENSLAY KABISAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/taarifa-ya-msima-wa-prof-henslay.html
0 Response to "TAARIFA YA MSIMA WA PROF. HENSLAY KABISAMA"
Post a Comment