Loading...

TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa

Loading...
TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa
link : TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa

soma pia


TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa

Mwambawahabari
Taasisi ya TAHMEF (Tanzania Health and Medical Education Foundation) limetoa huduma bure kwa wananchi wa wilaya ya Kondoa, Dodoma kupima saratani ya shingo la kizazi.

Zoezi hilo liliendeshwa kwa Muda wa siku mbili (8-9 Julai 2017) zaidi ya wanawake 500 Wilayani kondoa walijiandikisha na kupata huduma bure ya elimu na upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi.
Pamoja na kutoa huduma hiyo pia TAHMEF inaendesha mradi uitwao NURU YA AFYA unaolenga kuwezesha wanawake wasio na ajira rasmi na kuendelezwa harakati za kumfikia kila mtanzania kupitia utoaji wa huduma za afya bure kwa wale wenye kipato cha chini pia kuchangia vifaa na mahitaji mengineyo ya hospitali katika vijiji mbalimbali, kuongeza uelewa na ufahamu wa watanzania juu ya changamoto mbalimbali za afya na jinsi ya kukabili changamoto hizo mapema.

TAHMEF ni shirika lisilo la kiserikali (NGO), lililozinduliwa rasmi tarehe 8 Julai 2016 na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dk. Hamisi Kigwangalla.
Wanawake wakazi wa Kondoa, Dodoma wakisubiri kupewa huduma ya upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi.


Hivyo makala TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa

yaani makala yote TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tahmef-yatoa-huduma-bure-ya-upimaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAHMEF yatoa huduma bure ya upimaji wa saratani ya shingo la kizazi wilayani Kondoa"

Post a Comment

Loading...