Loading...
title : Tamasha la E-FM Redio la Komaa Concert lilivyozizima jiji la Mwanza
link : Tamasha la E-FM Redio la Komaa Concert lilivyozizima jiji la Mwanza
Tamasha la E-FM Redio la Komaa Concert lilivyozizima jiji la Mwanza
Tamasha la E-FM Redio ya Jijini Dar es salaam, liitwalo Komaa Concert lililokuwa mahususi kwa ajili ya redio hiyo kuwashukuru wasikilizaji wake wa 91.3 lilifunika jiji la Mwanza kwa mapokezi yao makubwa.Katika tamasha hilo, wanamuziki mbalimbali akiwemo Dulla Makabila, Ney Wa Mitego, Darassa, Stamina, Rich Mavoko, Aga Star, Chemichal, Ben Pol na wengine wengi walidondosha burudani kali katika uwanja wa CCM Kirumba
Darassa akitumbuiza kwenye tamasha la KOMAA CONCERT uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Dulla Makabila akifanya yake kwenye tamasha la KOMAA CONCERT uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Ney Wa Mitengo akiwapa raha mashabiki kwenye tamasha la KOMAA CONCERT uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Picha na BMG
Hivyo makala Tamasha la E-FM Redio la Komaa Concert lilivyozizima jiji la Mwanza
yaani makala yote Tamasha la E-FM Redio la Komaa Concert lilivyozizima jiji la Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la E-FM Redio la Komaa Concert lilivyozizima jiji la Mwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tamasha-la-e-fm-redio-la-komaa-concert.html
0 Response to "Tamasha la E-FM Redio la Komaa Concert lilivyozizima jiji la Mwanza"
Post a Comment