Loading...
title : TAMASHA LA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA AGOSTI 5 MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA
link : TAMASHA LA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA AGOSTI 5 MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA
TAMASHA LA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA AGOSTI 5 MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Fortunatus Musilimu, akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu Tamasha la Usalama Barabarani linalotarajiwa kufanyika mapema mwezi wa nane, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli. Kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Mhandisi Hamad Masauni.
Waandishi wa Habari wakimisikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa Mkutano uliohusu Tamasha la Usalama Barabarani linalotarajiwa kufanyika mapema mwezi wa nane,mwaka huu katika Uwanja wa Taifa,Jijini Dar es Salaam, ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. John Magufuli.Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi,Fortunatus Musilimu.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala TAMASHA LA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA AGOSTI 5 MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA
yaani makala yote TAMASHA LA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA AGOSTI 5 MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA AGOSTI 5 MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tamasha-la-usalama-barabarani-kufanyika_20.html
0 Response to "TAMASHA LA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA AGOSTI 5 MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA"
Post a Comment