Loading...
title : TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kutofuata taratibu za usajili wa laini
link : TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kutofuata taratibu za usajili wa laini
TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kutofuata taratibu za usajili wa laini
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitoza faini kampuni zote za simu kwa kusajili laini bila vitambulisho na kutofuata utaratibu.
Kampuni zilizotozwa faini hiyo na kiwango kikiwa kwenye mabano ni Airtel (Sh1.08 bilioni), Smart (Sh1.3 bilioni), Vodacom (Sh945 milioni), Zantel (Sh105 milioni) na Halotel (Sh1.6 bilioni).
Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema leo (Julai 14) kuwa hii si mara ya kwanza kwa watoa huduma hao kukiuka sheria.
Kiliba amesema kutokana na kurudia kosa hilo, TCRA imeamua kuzitoza kampuni hizo faini hiyo.
Pia, kampuni hizo zimetozwa Sh500 milioni kila moja kwa kosa la kuathiri na kuhatarisha usalama wa umma na jamii ya Watanzania kwa kusajili laini bila kufuata utaratibu.
Hivyo makala TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kutofuata taratibu za usajili wa laini
yaani makala yote TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kutofuata taratibu za usajili wa laini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kutofuata taratibu za usajili wa laini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tcra-yazipiga-faini-kampuni-za-simu-kwa.html
0 Response to "TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kutofuata taratibu za usajili wa laini"
Post a Comment