Loading...

TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA

Loading...
TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA
link : TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA

soma pia


TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA

--

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu nchini (TFS), Profesa Dos  Santos Silayo  akiwa katika banda la TFS na Familia yake katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam ambapo aliweza kukagua namna ya shughuli za Tasisi hiyo zinavyofanywa .

Afisa  Ufugaji Nyuki kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwanahamisi Mapolu   akizungumza na wawekezaji kutoka Oman waliofika katika  banda la TFS cujus ni aina gani ya Asali zinapatikana niching
Mjumbe wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)  Bi Sauda Simba akipata maelezo kutoka kwa Afisa Ufugaji Nyuki kutoka TFS, Mwanahamis Mapolu wakati alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam
Mjasiliamali kutoka Viana Kushoba wanaotengeneza Mashine ya makaa Mbadala akiwapa makaawakazi wa jiji waliomtembelea katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba na kununua mkaa huo ambao ni rafiki wa mazingira na unazuia ukataji miti hivyo kusaidia katika kulinda misitu yetu.
Afisa ufugaji Nyuki wa Shamba la miti la serikali la Sao Hill linalomilikiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Said Abubakary  akionesha waandishi wa habari moja ya malighafi inayotokana na misitu katika kutengeneza vipodozi vya aina mbalimbali


Hivyo makala TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA

yaani makala yote TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tfs-yatoa-fursa-za-uhifadhi-wa-misitu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA"

Post a Comment

Loading...