Loading...

The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu

Loading...
The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu
link : The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu

soma pia


The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu

Mwambawahabari


Familia ya mtoto Malale Mihayo (12) yenye makazi yake katika Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeishukuru Taasisi ya The Desk & Chair Foundation (TD&CF) Tawi la Tanzania kwa msaada wa baiskeli (Wheel Chair ) kwa ajili ya mtoto wao mwenye tatizo la Cerebral Polse (mtindio wa ubongo).


Akizungumza na mtandao huu baada ya kukabidhiwa baiskeli hiyo mama mzazi wa mtoto huyo Elizabert Tungu alisema  itampunguzia adha ya kumbeba mwanaye huyo ambaye hana uwezo wa kufanya chochote kutokana na tatizo alilonalo.


“ Mwanangu alizaliwa  mwaka 2008 akiwa mzima wa afya, alipata tatizo hili baadaye akiwa na umri  wa miaka 3 na nusu.Nilimpeleka kutibiwa hospitali huko Arusha na Moshi madaktari wakanieleza anasumbuliwa na tatizo la uti wa mgongo, licha ya kutibiwa hakupata nafuu.Nawashukuru Desk & Chair kwa msaada huu,”alisema.


Bi. Tungu mwenye familia ya watoto sita alisema alimpeleka kwa waganga wa tiba za jadi nako hakupata nafuu na hivyo akalazimika kurejea nyumbani ambapo mwanaye huyo aliendelea kukakamaa viungo vya mwili wake na kupoteza uwezo wa kukaa wala kutembea.

  Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation Tawi la Tanzania Sibtain Meghjee kulia, akimkabidhi Elizabert Tungu baiskeli (Wheel chair) kwa ajili ya  mwanaye Malale Mihayo (aliyekaa) ambaye ana tatizo la mtindio wa ubongo.Kushoto ni Abass Meghjee mmoja wa wafadhili na kiongozi wa taasisi hiyo yenye makao makuu nchini Uingereza.

 Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foudation Tawi la Tanzania Sibtain Meghjee akimsaidia kumsukuma Malale Mihayo mkazi wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga baada ya kumkabidhi msaada wa baiskeli (Wheel chair) itakayomsaidia kwa usafiri. Mtoto huyo ana tatizo la mtindio wa ubongo.


Hivyo makala The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu

yaani makala yote The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/the-desk-chair-foundation-yatoa-msaada_15.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "The Desk & Chair Foundation yatoa msaada kwa mtoto Mlemavu"

Post a Comment

Loading...