Loading...

TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Loading...
TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
link : TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

soma pia


TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Mkurugeni mtendaji wa kampuni ya Global Packaging Ndg Joseph Wasonga(wa pili kulia) akiwapa maelezo wakurugenzi wa TIB juu ya bidhaa zinazotengenezwa na kampuni hiyo. Wa kwanza kushoto ndugu Frank Nyabundege Mkurugenzi mkuu wa wa TIB Corporate Bank . Wa pili kushoto Charles Singili –Mkurugenzi Mkuu wa TIB Development Bank na wa mwisho kulia ni Bi Theresia Soka mkuu wa kitengo cha masoko – TIB Corporate Bank Ltd. Kiwanda cha Global Packaging ni miongoni mwa wateja ambao wamenufaika na mikopo inayotolewa na benki ya TIB. Kiwanda hiki ni miongoni mwa viwanda vya kisasa ambavyo vinazalisha vifungashio mbali mbali.
Wafanyakazi wa TIB Group (TIB Development Bank Ltd, TIB Corporate Bank na TIB Rasilimali Ltd) wakiwa tayari kutoa huduma kwenye viwanja vya Maonyesho - Saba Saba.
Wafanya kazi wa TIB Corporate Bank Ltd katika picha ya pamoja, wakiwa taya ri kuwahudumia wananchi mbalimbali watakao tembelea banda lao katika maonyesho hayo.


Hivyo makala TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

yaani makala yote TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tib-group-katika-maonyesho-ya-sabasaba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TIB GROUP KATIKA MAONYESHO YA SABASABA"

Post a Comment

Loading...