Loading...

TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI

Loading...
TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI
link : TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI

soma pia


TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI

Meneja Elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Nchini (TRA), Bi. Dayana Masala ameongoza operesheni ya kuwakamata wafanyabiashara wa vituo vya mafuta wanaohudumia pasipo kutoa risiti na kusababishia serikali kutokusanya mapato stahiki kwa huduma wanazotoa  jijini Dar es Salaam. 
Operesheni hiyo ilifanyika mapema jijini humo na baadhi ya vituo vya mafuta kubambwa baadhi ya watoa huduma ya uuzaji wa nishati ya petroli na diseli wakitoa huduma ya kwa vyombo vya moto bila kutoa risiti kwa wateja jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi jambo linalosababishia serikali kupoteza mapato. 
Bi Msala amewaonya wafanyabiashara wenye tabia ya kutopenda kuwapa wateja risiti kwani kwa kufanya hivyo watalazimika watakapobainika watalipa faini ya shilingi milioni nne na nusu. Pia amewasisitiza wananchi kudai risiti wanapopata huduma za bidhaa mbalimbali kwani kwa kutokufanya hivyo pia ni kosa na wakikutwa wamenunua bidhaa bila kudai risiti watalazimika kulipa fidia ya shilingi milioni moja na nusu.
Imeandaliwa na Robert Okanda Blog



Hivyo makala TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI

yaani makala yote TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/tra-yaendelea-kuwabamba-wafanyabiashara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRA YAENDELEA KUWABAMBA WAFANYABIASHARA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI"

Post a Comment

Loading...