Loading...
title : Vigogo Escrow, IPTL waongezewa mashitaka mapya 6
link : Vigogo Escrow, IPTL waongezewa mashitaka mapya 6
Vigogo Escrow, IPTL waongezewa mashitaka mapya 6
Jamhuri imeongeza mashitaka mapya sita kwa watuhumiwa wa kesi ya Escrow na IPTL, James Rugemalila na Habinder Seth Sigh, na kufanya idadi ya mashitaka yanayowakabili vigogo hao kufikia 12.
Leo Julai 3, 2017, Mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Huruma Shahidi, Wakili upande wa Jamhuri, Shadrack Kimaro aliwasomea Mashtaka Mapya watuhumiwa hao ikiwemo uhujumu uchumi, kula njama, kughushi pamoja na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kuisababishia serikali hasara.
Awali watuhumiwa walishtakiwa kwa mashtaka sita na sasa yameongezwa sita mengine na kufikia 12.
Aidha, kesi hiyo imepangwa kutajwa tena Tarehe 14 Julai 2017.
Hivyo makala Vigogo Escrow, IPTL waongezewa mashitaka mapya 6
yaani makala yote Vigogo Escrow, IPTL waongezewa mashitaka mapya 6 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vigogo Escrow, IPTL waongezewa mashitaka mapya 6 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/vigogo-escrow-iptl-waongezewa-mashitaka.html
0 Response to "Vigogo Escrow, IPTL waongezewa mashitaka mapya 6"
Post a Comment