Loading...

VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL)

Loading...
VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL)
link : VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL)

soma pia


VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL)

 .Mkurugenzi  wa Global Education Link (GEL), ambao ni Mawakala  Wakubwa wa Vyuo Vikuu vya Nje  ya Nchi, Abdulmalik  Mollel akisaini mkataba wa makubaliano  na  Afisa Udahili  wa Chuo cha Sri Venkteswara   cha nchini India cha Uhandisi na Teknolojia  ,  Bheems Neyulu  hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam ikiwa ni  sehemu ya kuendelea na kujiandaa katika   maandalizi  ya mahitaji ya rasilmali watu  katika sekta ya viwanda nchini .
 Mkurugenzi  wa Global Education Link (GEL)  Abdulmalik Mollel  akibadilishana hati ya makubaliano  na  Afisa Udahili  wa Chuo cha Sri Venkteswara   cha nchini India ,  Bheems Neyulu  hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi za viwanja vya sabasaba jijini  Dar es Salaam.
 Mkurugenzi  wa Global Education Link (GEL)  Abdulmalik Mollel akionesha mfumo wa udahili wa Vyuo Vikuu vya Nje wa Kielektroniki kwa wananchi waliokuwa wakipata  huduma katika ofisi hiyo, katika maonesho ya 41 biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba
 Maafisa wa Global Education Link wakiendelea kutoa huduma katika maonesho ya 41 biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL)

yaani makala yote VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/vyuo-vikuu-vya-nje-ya-nchi-vyaendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VYUO VIKUU VYA NJE YA NCHI VYAENDELEA KUOMBA MIKATABA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL)"

Post a Comment

Loading...