Loading...
title : WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO
link : WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO
WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wafanyakazi wakati wa mafunzo ya kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Andrew Mbwambo wakati wa mafunzo ya kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Wawezeshaji wa kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha miaka mitano kutoka Chuo Kikuu Cha Mzumbe wakimsililiza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza katika mafunzo hayo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. AndrewMbwambo wakati wa mafunzo ya kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Picha na JKCI.
Hivyo makala WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO
yaani makala yote WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wafanyakazi-wa-taasisi-ya-moyo-jakaya.html
0 Response to "WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO"
Post a Comment