Loading...
title : Walimu wa maskuli wapatiwa mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati
link : Walimu wa maskuli wapatiwa mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati
Walimu wa maskuli wapatiwa mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati
Mratibu wa Jumuiya ya kumuendeleza mtoto wa kike kielimu (FAWE) Hinda Abdalla Ajmy akizungumza na walimu na wanafunzi walioshiriki mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati katika Hoteli ya Africa House Shangani, Mjini Zanzibar.
Mhandisi wa ujenzi Talha Masoud akiwaonesha washiriki wa mafunzo hayo michoro ya majengo aliyobuni na kuwataka wanafunzi wa kike kujitokeza kujiunga na fani hiyo kwani inasoko kubwa hivi sasa.
Mtaalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari (ICT) Raya Said Khalifa akiwasisitiza wanafunzi wa kike kujiunga na fani hiyo ili kwenda na wakati wa sasa wa sayansi na teknolojia.
Wanafunzi wa skuli ya wanawake Tumekuja wakifanya majaribio ya huduma ya kwanza katika mafunzo ya siku tano ya sayansi yaliyofanyika Hoteli ya Africa House Shangani Zanzibar.
Walimu wa skuli walioshiriki mafunzo hayo wakifuatilia majaribio ya kisayansi yaliyokuwa yakifanywa na washiriki wenzao.
Mgeni rasmi Afuwa Mohammed akiyafunga mafunzo ya siku tano kuhusu masomo ya sayansi yatokanayo na engineering na hisabati mara tuu baada ya kuwahutubia.
(PICHA NA ABDALLA OMAR – HABARI MAELEZO ZANZIBAR.)
Hivyo makala Walimu wa maskuli wapatiwa mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati
yaani makala yote Walimu wa maskuli wapatiwa mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Walimu wa maskuli wapatiwa mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/walimu-wa-maskuli-wapatiwa-mafunzo-ya.html
0 Response to "Walimu wa maskuli wapatiwa mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati"
Post a Comment