Loading...
title : WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA
link : WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA
WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA
--
Mkurugenzi wa Utalii na Masoko kutoka Hifadhi za Taifa Tanzania, Ibrahim Mussa akizungumza wakati wa Mjadala juu ya uhifadhi katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Mtaalam na Mtafiti wa Tembo,Dk Alfred Kikoti akizungumza na Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya habari nchini kuhusu Ikolojia ya tembo katika hifadhi nchini katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Mwenyekiti wa MisaTan , Salome Kitomari akichangia jambo katika moja ya mada katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Ofisa anaeshughulikia masuala ya Ujirani mwema kutoka TANAPA, Ibrahim Ninga akitoa somo kwa Wanahabari nini Mamlaka yake imefanya katika kuakikisha hakuna migogoro baina ya hifadhi na Majirani
Sehemu ya Wahariri na Waandishi Waandishi waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari ambao wameshiriki Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Hivyo makala WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA
yaani makala yote WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wanahabari-wajadili-umuhimu-wa-uhifadhi.html
0 Response to "WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA"
Post a Comment