Loading...
title : WANANCHI WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA
link : WANANCHI WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA
WANANCHI WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA
Baadhi ya Madereva Bodaboda wakiwa katika foleni ya kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Shekilango mara baada ya kukosa mafuta katika vituo vingine ambavyo vimefungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa kosa la kutotoa risiti kwa wateja hivyo kuikosesha serikali mapato
Foleni ya Magari inavyoonekana kwa nje ya kituo cha Mafuta cha TOTAl Shekilango jijini Dar es Salaam kutokana na baadhi ya vituo kufungwa kwa makosa ya kutotoa risiti za TRA
Baadhi ya madereva wa Bodaboda wakiwa wamekata tamaa mara baada ya kuona kuwa foleni kuwa kubwa
Madereva bodaboda wakiwa katika foleni ya kuweka mafuta
Hivyo makala WANANCHI WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA
yaani makala yote WANANCHI WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wananchi-wajaa-kwenye-vituo-vya-mafuta.html
0 Response to "WANANCHI WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA"
Post a Comment