Loading...

WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO

Loading...
WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO
link : WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO

soma pia


WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO

Na Tiganya Vincent-RS-TABORA

Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara amemtaka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Kitete kuwakama mara moja na kuwafikisha Polisi watumishi wawili wa Hospitali hiyo wanaotuhumiwa kukutwa na dawa na vifaa tiba katika mikoba yao.

Dkt. Ntara alitoa kauli hiyo jana(leo) mjini Tabora baada ya watumishi hao kukamatwa na vifaa hivyo katika mikoba yao kinyume na utaratibu wa hospitali na ambazo dawa hizo na vifaa wanatuhumiwa walikuwa wakitaka kwenda kuziuza katika hospitali binafsi.

Alisema kuwa baada ya kukamatwa na kupekuliwa katika mikoba yao ndipo walikuwa na dawa na vifaa tiba ambavyo havitakiwa kutoka nje ya hospitali na havikuwa na maelekezo ya Mganga.Kufuatia kazi hiyo ilifanywa na walinzi hao Katibu Tawala huyo wa Mkoa aliwapongeza na kuwaagiza kuongeza kupekua watu wote wanaokwenda kuona wagonjwa kwa sababu yawezekana watumishi wengine ambao sio waadilifu wakatumia nafasi hiyo kutorosha dawa na vifaa tiba.

Alimwagiza Mganga Mfawaidhi wa Hospitali hiyo kuhakikisha watuhumiwa hao wanakamatwa mara moja na kufikishwa Polisi wakati hatua nyingine za kiutumishi zinaendelea.Watumishi waliokamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa na vifaa tiba katika mikoba yao ni Petronila Mbipa Bundala ambaye ni Mhudumu na Monica Alexanda Rugeinamu ambaye ni Muuguzi.

Aidha ameagiza watumishi hao waandikiwe mara moja barua za kusimamishwa kazi kutokana na tuhuma za kukutwa na mali ya mwajiri wao kinyume na sheria.Vifaa na dawa vilivyokamatwa ni Cannula, Surgical gloves, Syringesa, Urinal bag, IV giving set, Blood giving set,Brainded silk number, water injection, powder, soap, examination grolve, gentamyacin injection ampule, ascorbic acid.

Hivi karibuni Hospitali hiyo imekumbana na wizi wa mara kwa mara hatua iliyopelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kusimamisha Kampuni iliyokuwa imepewa jukumu la kulinda na kulazimika kuweka Kampuni nyingine wakati taratibu za kuichukulia hatua Kampuni ya awali zikiendelea.

Kuanza kwa Kampuni mpya tayari watuhumiwa hao wamekamatwa na ulinzi umeimarishwa.


Hivyo makala WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO

yaani makala yote WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/watumishi-wawili-wa-hospitali-ya-kitete.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATUMISHI WAWILI WA HOSPITALI YA KITETE MKOANI TABORA WAKAMATWA NA DAWA NA VIFAA TIBA WALIVYOKUWA WAMEFICHA KATIKA MIKOBA YAO"

Post a Comment

Loading...