Loading...
title : WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE
link : WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE
WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE
Waziri Dk Harisson Mwakyembe akisalimiana na Mchezaji Wayne Rooey wa timu ya Everton ya Uingereza inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo EPL mara baada ya kikosi hicho kuwasi;li kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu JNIA jijini Dar es salaam Everton inatarajiwa kushuka dimbani kesho kwenye uwanja wa Taifa kumenyana na timu ya Golmahia ya Kenya mchezo ulioandaliwa na kampuni ya SportPesa.
Baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu hiyo wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili jijini Dar es salaam asubuhi hii
KIkosi cha timu ya Everton ya Uingereza kikiwa katika picha ya pamoja wakati kikishuka kwenye ndege iliyoileta timu hiyo kwenye uwanja wa Ndege wa JNIA jijini Dar es salaam.
Hivyo makala WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE
yaani makala yote WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-dk-harisson-mwakyembe-ampokea.html
0 Response to "WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE"
Post a Comment