Loading...

WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI

Loading...
WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI
link : WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI

soma pia


WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akisalimiana na Mchungaji John Oscar Ongere ambaye alifika ofisini kwa Mhe. Waziri kujadili maandalizi ya Kongamano kubwa la uwekezaji linalotarajiwa kufanyika nchini mwezi Novemba 2017. Kongamano hilo litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam litajumuiya wafanyabiashara wakubwa kutoka kote duniani na wa hapa nchini kujadiliana namna bora ya kutumia fursa lukuki za uwekezaji zilizopo hapa nchini.

Mchungaji Ongere akifanya maombi kwa ajili ya kuiombea nchi amani na utulivu ili iweze kukua kiuchumi
Picha ya pamoja
 Balozi wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.  Mazungumzo yao pamoja na mambo mengine walijadili maandalizi ya sherehe za kumuapisha Rais Mteule wa Iran, Mhe. Hassan Rouhani zitakazofanyika Tehran tarehe 05 August 2017.

Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia mazungumzo hayo, Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bi. Zainab Angovi-Mrutu, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bw Ayoub Mndeme na Katibu wa Waziri, Bw. Gerald Mbwafu.

Ujumbe aliofuatana nao Balozi wa Iran ukifuatilia mazungumzo.



Hivyo makala WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI

yaani makala yote WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-dkt-mahiga-akutana-na-mchungaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE NA BALOZI WA IRAN NCHINI"

Post a Comment

Loading...