Loading...

Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba

Loading...
Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba
link : Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba

soma pia


Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara maalumu, Haji Omar Kheir, akisalimiana na Wapiganaji wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kambi ya Msaani , kabla ya kuzinduwa uvunaji wa mpunga katika Kambi ya Msaani Pemba.
 Wapiganaji wa Jeshi la Kujenga Uchumi Pemba, wakishiriki katika uvunaji wa Mpunga uliolimwa na Wapiganaji hao , kabla ya kuzinduliwa uvunaji huo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Idara maalum huko Kisiwani Pemba.
 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikao , Serikali za Mitaa na Idara maalum, Haji Omar Kheir, akizinduwa uvunaji wa mpunga kwa msimu huu ambao umelimwa na Wapiganaji wa Jeshi hilo, huku akishirikiana na mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, huko katika Kambi ya JKU Msaani -Pemba.
 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Idara maalumu za SMZ, Haji Omar Kheir, akizungumza na Wapiganaji wa Jeshi la Kujenga Uchumi Pemba, mara baada ya kuzinduwa Uvunaji wa mpunga kwa msimu huu huko katika Kambi ya Jeshi hilo Mssani Pemba.


Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar, Kanal Ali Mtumweni, akizungumza na Wapiganaji wa Jeshi hilo Kisiwani Pemba , mara baada ya uzinduzi wa uvunaji wa Kilimo cha mpunga katika Kambi za Msaani na kwa Pweza Pemba.

Picha na Said Abrahaman -JKU PEMBA.


Hivyo makala Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba

yaani makala yote Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-haji-omar-khei-azindua-msimu-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Haji Omar Khei azindua msimu wa uvunaji wa mpunga Msaani Pemba"

Post a Comment

Loading...