Loading...
title : YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201
link : YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201
YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201
Tume ya vyuo vikuu nchini TCU imetangaza mfumo mpya kwwa kuomba nafasi ya kusoma vyuo mbalimbali hapa nchini; https://youtu.be/_1aKVh0VNrA
Waziri Prof.Makame Mbarawa autaka uongozi unaosimamia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kufanya marekebisho ndani ya uwanja huo; https://youtu.be/f76RK0Bq6Oc
Wakazi wa mkoani Lindi walia na uhaba wa mafuta kutokana na mamlaka ya mapato TRA kufunga vituo ambavyo havina mashine ya EFD; https://youtu.be/F9s6RrOtGOc
Tazama mazungumzo kwa kina kutoka kwa msanii wa muziki wa Bongofleva Barnaba akizungumzia safari yake ya muziki hapa nchini http://simu.tv/Jllvf5A
Waziri wa Ujenzi Prof. Makame Mbarawa awataka wakazi Tabora kulinda miundombinu ya uwanja wa ndege wa Tabora. https://youtu.be/sRAbKNGdqFk
Naibu waziri Selemani Jafoa amewataka viongozi wa halmashauri kupeleka michango ya watumishi katika mifuko ya hifadhi ya jamii; https://youtu.be/0k7Hs2h3vM8
Naibu waziri wa elimu Mhandisi Manyanya aitaka manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam kuboresha miundombinu ya shule za msingi; https://youtu.be/G7BTtHJwRMw
Serikali imeanza ujenzi wa shule maalum kwa watoto wenye ulemavu wa kusikia wilayani Arumeru katika kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu; https://youtu.be/46wgxBHzfWA
Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201
yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/yaliyojiri-katika-vituo-mbalimbali-vya_15.html
0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 201"
Post a Comment