Loading...

ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR

Loading...
ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR
link : ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR

soma pia


ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR



Afisa wa Zantel Kassongo Faraji (katikati) akifafanua jambo kwa mteja mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.
Afisa wa Zantel, Abdallah Mabuga (kulia) akifafanua jambo kwa mkazi na mfanyabiashara wa Mbagala Zakhem Juma Pazi (katikati) mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake. Kushoto ni Afisa usajili wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Hussein Ahmed Abdallah.
Afisa wa Zantel Thadey Lucas (kulia) akimsajili Mkazi wa Mbagala, Hamdan Ally (katikati) mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake. Anayeshuhudia kushoto ni mkazi wa Kongowe Abdul Ally.
Maafisa wa Zantel Rehema Tarimu (kushoto) na Hussein Ahmed Abdallah (kulia) wakimsajili mteja mpya mara baada ya kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Kongowe jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.



Hivyo makala ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR

yaani makala yote ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/zantel-yatoa-elimu-kuhusu-huduma-zake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZANTEL YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA MBAGALA NA KONGOWE JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...