Loading...

ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI.

Loading...
ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI.
link : ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI.

soma pia


ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI.


· ‘App’ hii imelenga kuwasaidia watumiaji wake kupata taarifa muhimu kuhusu hoteli, usafiri, sehemu za vivutio, klabu, kasino, maduka makubwa, ubalozi na hospitali.

Kampuni ya simu za mkononi Zantel ambao wanaongoza katika utoaji wa huduma bora za data, leo imezindua application ya simu inayojulikana kama ‘Discover Tanzania Mobile App” ambayo lengo lake ni kuhimiza utalii wa ndani na nje kwa lengo la kuwapatia watalii taarifa sahihi za maeneo ya utalii yanayopatikana na hapa nchini Tanzania.

App hiyo itakuwa na taarifa zote za muhimu zinazopatikana hapa nchini zikiwamo kuhusu hoteli, usafiri, maeneo ya vivutio, kumbi za starehe, maduka makubwa, ubalozi na hospitali ambapo huduma hiyo itapatikana na kwenye Google Play Store kwa gharama nafuu ya Shilingi 500 tu.

Akizungumzia huduma hiyo jijini Dar es Salaam leo, Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Zantel, Gasper Mbowa alisema, “Tunayofuraha kubwa kuzindua App hii ni kwa ajili ya wateja wetu, lakini jambo kubwa zaidi ni kuwa Zantel ndio Kampuni ya kwanza ya Mawasiliano kuanzisha huduma hii hapa nchini.” ‘Discover Tanzania mobile App’ ni rahisi kutumia na pia ni huduma ya bei nafuu kwa watu wote, kwa wageni na wenyeji. 


Kwa muda wa siku tatu mteja wa Zantel atatumia kiasi cha shilingi 500, kwa siku saba mteja atatozwa shilingi 2000 na kwa mwezi mzima mteja atatozwa 3,000. Aliongeza kuwa alama ya siri kwa ajili ya kupata huduma hiyo kupitia sms au sauti kwa wateja wa Zantel ni 15582 ambapo watatozwa Tsh. 1 tu kwa sekunde.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI.

yaani makala yote ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/zantel-yazindua-app-ya-simu-kuhamasisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KIGENI NCHINI."

Post a Comment

Loading...