Loading...

ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR

Loading...
ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR
link : ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR

soma pia


ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (Katikati), akizungumza na Wadau wa Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), walipokutana na kufanya kikao katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo, leo jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Wadau wa Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), Mohamed Kaumbwa akitoa utambulisho wa wajumbe aliombatana nao, walipokutana na kufanya kikao katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, leo jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau wa Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto, leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI


Hivyo makala ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR

yaani makala yote ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/zimamoto-wakutana-na-wadau-wa-vifaa-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...