Loading...

BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA

Loading...
BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA
link : BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA

soma pia


BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA


Benki Kuu ya Tanzania imetoa leseni kwa kampuni mpya ya kutoa mikopo ya nyumba inayoitwa “First Housing Company (Tanzania) Limited”.

Taarifa iliyotolewa na Idara ya Sera na Leseni katika Kurugenzi ya Usimamizi wa Mabenki imeeleza kwamba leseni hiyo inaipa nafasi kampuni hiyo mpya kufanya biashara ya kutoa mikopo ya nyumba nchini. Makao makuu ya kampuni hiyo ni jijini Dar es Salaam. 

Hii ni mara ya kwanza kwa Benki Kuu kutoa leseni kwa kampuni ya mikopo ya nyumba nchini. 

Benki Kuu pia inatoa leseni na kusimamia benki, taasisi za fedha, maduka ya kubadilisha fedha, kampuni za karadha na zinazotunza kumbukumbu za ukopaji za wananchi (credit reference bureaus).


Hivyo makala BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA

yaani makala yote BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/benki-kuu-ya-tanzania-yasajili-kampuni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI KUU YA TANZANIA YASAJILI KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO YA NYUMBA"

Post a Comment

Loading...