Loading...

BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM

Loading...
BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM
link : BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM

soma pia


BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kama ifuatavyo.

Michezo ambayo imefanyiwa mabadiliko ni kati ya Tanzania Prisons na Majimaji ya Songea; Azam FC na Simba, Njombe Mji na  Young Africans; Mtibwa Sugar na Mwadui FC ambayo sasa itachezwa Septemba 6, 2017.

Pia tarehe hiyo ya Septemba 6, mwaka huu kutakuwa na mechi kati ya Lipuli na Stand United; Singida United na Mbao; Kagera Sugar na Ruvu Shooting wakati Mbeya City na Ndanda FC .

Michezo mingine ambayo imesogezwa hadi Septemba 11, 2017 ni kati ya Azam na Kagera Sugar wakati Mbao na Tanzania Prisons utachezwa Septemba 21, mwaka huu.

Kadhalika mechi nyingine zitachezwa Oktoba 11, mwaka huu ni kati ya Mbao na Azam FC; Kagera Sugar na Mwadui; Mbeya City na Ruvu Shooting; Ndanda na Singida United.

Tarehe hiyo pia Oktoba 11, mwaka huu kutakuwa na mchezo kati ya Njombe Mji na Simba; Mtibwa na Tanzania Prisons; Lipuli na Majimaji wakati Stand United na Young Africans watacheza Oktoba 12, mwaka huu.

Novemba 15, 2017 Mbao itacheza na Young Africans; Kagera na Mbeya City; Stand United na Azam; Mwadui na Ruvu Shooting; Singida na Njombe Mji; Lipuli na Tanzania Prisons; Mtibwa Sugar na Majimaji wakati Novemba 16, Ndanda itacheza na Simba.


Hivyo makala BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM

yaani makala yote BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/bodi-ya-ligi-yafanya-mabadiliko-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM"

Post a Comment

Loading...