Loading...

BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI

Loading...
BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI
link : BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI

soma pia


BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI

Wananchi 365 wa kijiji cha Chongoleani watafidiwa shilingi bilioni 3,035 kwa ajili ya kutoa maeneo yao, ili kupisha ujenzi wa bomba la mafuta linalojengwa kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga.

Hayo yamesemwa na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Usimamizi wa Bandari Tanzania TPATanga, Bibi Janeth Rwuzangi katika mahojiano maalum na Idara ya Habari (MAELEZO) leo.

Bi Ruzangi amesema kuwa kwa hapa Chongoleani mradi una ukubwa wa hekta 200 zikiwemo hekta 100 zitakazotumiwa kuweka miundombinu ya mafuta ghafi. Hekta 100 zilizosalia zitatumika kwa ajili ya shughuli za TPA) kuwekeza miundombinu ya kupokea mafuta yaliyosafishwa. Vile vile eneo hili limezingatia maendeleo endelevu ya biashara ya mafuta na gesi katika siku zijazo.

Aliongeza kuwa TPA itakuwa na wajibu wa kuhudumia meli, kuhakikisha usalama wa bidhaa, vyombo na watu pamoja na kusimamia masuala ya afya bandarini. Aidha, Majukumu la TPA yanatarijiwakujikita katika shughuli za uendeshaji wa majini ikiwemo kuwa na vyombo na boti maalumu kwa ajili ya kuongozea meli wakati wa kuingia na kutoka kwenye gati la mafuta ghafi.

Akitoa ufafanuzi, Bi Ruzangi amesema vile vile, TPA ina jukumu la kuhakikisha inahudumia shehena ya vifaa vyote vya ujenzi katika Bandari ya Tanga kwa kushirikiana na Bandari Kuu ya Dar es Salaam. Shughuli nyingine ni pamoja na ulinzi wa miundombinu ya majini pamoja na usalama wa eneo la Bandari ambalo limegawanyika katika sehemu kuu mbili; ardhini kwenye gati la mafuta na majini kwenye lango la kuingilia meli na nangani.



Hivyo makala BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI

yaani makala yote BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/bomba-la-mafuta-tanga-wananchi-365.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BOMBA LA MAFUTA TANGA: WANANCHI 365 KUFIDIWA CHONGOLEANI"

Post a Comment

Loading...