Loading...

BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI.

Loading...
BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI.
link : BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI.

soma pia


BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI.

Na John Luhende
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo imetangaza utaratibu mpya wa usajili wa Majarida , Magazeti na machapisho mbalimbali katika mfumo wa Leseni.
Akizungumza na waandishi wa habari Msemaji mkuu wa serikali na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Dr Hassan Abas, amesema utaratibu huo ni utekelezaji wa matakwa ya kufungua cha 5 (e) cha sheria ya huduma za habri ya mwaka 2016 ambao pia ni umeelezwa katika  kanuni ya 7ya kanuni za sheria ya huduma za habari za mwaka 2017.
Aidha msemaji huyo amesema  kuwa pia kutakuwa na utaratibu wa kuhuisha Leseni hizo kila mwaka kwa gharama ya  shilingi milioni moja na kwamba form za maombi na account ya kulipia na orodha ya nyaraka zinazo hitajika kwa ajili ya usajili zimeanza kutolea leo katika Ofisi za habari maelezo Dar es Salaam na Dodoma au kupitia tovuti ya www.maelezo.go.tz.
Pamoja na hayo amesema kuwa wa milki wa Magazeti na Majarida ambao wanausajili wa zamani, serikali imewapa fursa   kuanzia leo hadi oktoba 15/2017 waweze wamekamilisha taratibu za usajili na kupatiwa Leseni mpya za uendeshaji na uchapishaji, na baada ya muda huo kupiti bila kukamilisha watakuwa wamekiuka sheria hiyo. 



Hivyo makala BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI.

yaani makala yote BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/breaking-news-serikali-yatangaza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWS!!! SERIKALI YATANGAZA UTARATIBU MPYA WA USAJILI MAGAZETI."

Post a Comment

Loading...