Loading...

DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA

Loading...
DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA
link : DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA

soma pia


DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA

  Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina  Chuwa (wa pili kulia) akizungumza na mmoja wa mafundi wanaojenga Jengo Jipya la Makao Makuu ya ofisi hiyo mkoani Dodoma wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo. Wa kwanza kushoto ni Mhandisi John Ainainyi Njau kutoka Benki ya Dunia - Tanzania.


 Muonekano wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linalojengwa mkoani Dodoma

 Baadhi ya mafundi wakiwa wanaendelea na kazi ya ujenzi wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) linalojengwa mkoani Dodoma.

Baadhi ya Wakurugenzi na Maafisa waandamizi  wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya ofisi hiyo mkoani Dodoma. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).


Hivyo makala DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA

yaani makala yote DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dkt-albina-chuwa-akagua-maendeleo-ya_1.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. ALBINA CHUWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAOENDELEA MKOANI DODOMA"

Post a Comment

Loading...