Loading...

EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI.

Loading...
EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI.
link : EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI.

soma pia


EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI.

Balozi wa kampuni ya Noah Funishing na Mtangazaji wa Efm Radio, Swebe Santana  akizungumza juu ya kampuni hiyo ilivyojikita katika kudhamini  EFM Joging itakyofanyika katika mikoa yote sita ambapo Tamasha la Muziki Mnene litafanyika.
 Meneja Mkuu wa EFM Radio na Tv E , Denis Busulwa (SEBO), Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa Tamasha Mziki Mnene litakalo fanyika katika mikoa sita nchini  Sanjari na Kampeni ya Nje Ndani ambayo itarusha vipindi vya Radio kutoka mitaani .
 Meneja Masoko kutoka kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Biko, Good Hope Heaven , akizungumza namna kampuni yao ilivyoweza kudhamini Tamasha la Muziki Mnene kupitia bahati nasibu ya Nguvu ya Buku.
 Baadhi ya Watangazaji wa EFM Radio na Tv E Wakifatilia uzinduzi wa Tamasha la Mziki Mnene.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI.

yaani makala yote EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/efm-yazindua-tamasha-la-mziki-mnene-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI."

Post a Comment

Loading...