Loading...
title : HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA
link : HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA
HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA
Na Edwin Moshi
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Makete Mjini ameitaka jamii kuacha kutupa lawama kwa polisi ama Mahakama pale Mtuhumiwa anapoachiwa kwa dhamana
Ameyasema hayo hivi karibuni katia kikao Maalum cha timu ya ulinzi na usalama wa Mtoto kilichoketi katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete kujadili mambo mbalimbali Kuhusu Watoto
"Kama kuna mahali unapoona huridhiki na kupewa dhamana mtuhumiwa, nenda polisi ukaulize, na kama ni mahakamani nenda mahakamani ukaulize na sio kuwalaumu polisi au mahakama mitaani" amesema hakimu huyo
Zaidi Tazama video hii hapa chini:-
Hivyo makala HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA
yaani makala yote HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/hakimu-makete-acheni-kuwalaumu-polisi.html
0 Response to "HAKIMU MAKETE: ACHENI KUWALAUMU POLISI WANAPOTOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA"
Post a Comment