Loading...
title : HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI
link : HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI
HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi, Hasheem Thabeet (kushoto), walipokutana kwa ajili ya Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi. Hasheem Thabeet (wapili kushoto), baada ya mazungumzo ya Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Wengine ni ujumbe ulioongozana na mchezaji huyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKLALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI
yaani makala yote HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/hasheem-thabeet-afanya-mazungumzo-na.html
0 Response to "HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI"
Post a Comment