Loading...
title : IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA
link : IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA
IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza jambo mbele ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Manyara, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa mkoa wa Manyara, Joel Bendera (Kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Babati, Raymond Mushi, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi wakati alipowasili mkoani Manyara, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akiwa ameongozana na kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, ACP Francis Jacob, wakati alipowasili mkoani Manyara, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA
yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-afanya-ziara-mkoani-manyara.html
0 Response to "IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA"
Post a Comment