Loading...
title : IGP SIRRO AFUNGUA SEMINA INAYOWAKUTANISHA WAKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI
link : IGP SIRRO AFUNGUA SEMINA INAYOWAKUTANISHA WAKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI
IGP SIRRO AFUNGUA SEMINA INAYOWAKUTANISHA WAKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi (IGP) Simon Sirro, akizungumza na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) Robert Boaz na Mkuu wa Interpol Kanda ya Afrika Mashariki, Gidion Kimira, alipokutananao kabla ya kufungua semina ya siku mbili inayowakutanisha Wakurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na baadhi ya wawakilishi kutoka nchi wanachama wa SARPCCO na EAPCCO wanaokutana jijini Dar es salaam kujadili masuala ya kiusalama kwa makosa yanayovuka Mipaka.
Baadhi ya wajumbe na wawakilishi kutoka nchi wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika (EAPCCO) na Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Ukanda wa Kusini Mwa Afrika (SARPCCO) wanaohudhuria semiana ya siku mbili jijini Dar es salaam itakayo jadili masuala ya kiusalama kwa makosa yanayovuka Mipaka semina iliyofunguliwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi (IGP) Simon Sirro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi (IGP) Simon Sirro, akizungumza mbele ya Wakurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na baadhi ya wawakilishi (hawapo Pichani) wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika (EAPCCO) na Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Ukanda wa Kusini Mwa Afrika (SARPCCO) wanaohudhuria semiana ya siku mbili jijini Dar es salaam itakayo jadili masuala ya kiusalama kwa makosa yanayovuka Mipaka.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi (IGP) Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe na wawakilishi wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika (EAPCCO) na Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Ukanda wa Kusini Mwa Afrika (SARPCCO) wanaohudhuria semiana ya siku mbili jijini Dar es salaam itakayo jadili masuala ya kiusalama kwa makosa yanayovuka Mipaka. Picha na Jeshi la Polisi
Hivyo makala IGP SIRRO AFUNGUA SEMINA INAYOWAKUTANISHA WAKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI
yaani makala yote IGP SIRRO AFUNGUA SEMINA INAYOWAKUTANISHA WAKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFUNGUA SEMINA INAYOWAKUTANISHA WAKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-afungua-semina.html
0 Response to "IGP SIRRO AFUNGUA SEMINA INAYOWAKUTANISHA WAKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI"
Post a Comment