Loading...

IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA

Loading...
IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA
link : IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA

soma pia


IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, ACP Hamisi Issa, mara alipowasili katika mkoa huo akiwa njiani kuelekea mkoa wa Arusha, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akiweka saini kwenye kitabu cha wageni mara alipowasili katika mkoa wa Kilimanjaro, akiwa njiani kuelekea mkoa wa Arusha, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao, kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, ACP Hamisi Issa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akizungumza na Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ally Lugendo, na Mkuu wa chuo cha Polisi Moshi (CCP), SACP Ramadhan Mungi (kushoto), mara alipowasili katika mkoa wa Kilimanjaro, akiwa njiani kuelekea mkoa wa Arusha, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao.


Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA

yaani makala yote IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-awasili-kilimanjaro-akiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA"

Post a Comment

Loading...