Loading...

KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA.

Loading...
KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA.
link : KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA.

soma pia


KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA.

 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jaffo (aliesimama)akizungumza jambo pale Watendaji wakuu kutoka ofisi hiyo walipokutana na kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali leo Mjini Dodoma.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Ndg. Kapulya Musomba akizungumza jambo pale kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ilipokutana na Watendaji wakuu kutoka Shirika hilo, Wizara ya Nishati na Madini pamoja na REA leo Mjini Dodoma.
 Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakifuatilia majadiliano baina yao na Watendaji wakuu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na REA leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Dkt. Medard Kalemani (aliesimama) akizungumza na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Watendaji wakuu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na REA (hawapo kwenye picha) leo Mjini Dodoma. katikati ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Deo Ngalawa na kulia ni Katibu kamati wa kamati hiyo, Ndg. Felista Mgonja
 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia Majadiliano baina yao na Watendaji Wakuu kutoka TCRA, Vodacom, Airtel na Tigo katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE).

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA.

yaani makala yote KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kamati-za-bunge-za-hesabu-za-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA."

Post a Comment

Loading...