Loading...

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi.

Loading...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi.
link : Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi.

soma pia


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi.


Mtafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),  Bestina Daniel (kushoto), akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kulia), kuhusu ushiriki wa COSTECH katika maonyesho hayo, alipotembelea banda la COSTECH , lililopo chini ya Wizara hiyo katika Maonyesho ya Kitaifa ya Wakulima yanayoendelea Viwanja vya Nane Nane vya Ngongo mkoani Lindi jana.
Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni (MARI), Ismail Ngolinda, akitoa maelezo Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kushoto), alipotembelea banda hilo. Katikati ni  Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, HusseinMansour.




Watafiti wakijadiliana jambo kwenye maonesho hayo. Kutoka kulia ni Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Filbert Nyinondi, Bestina Daniel, mdau wa kilimo, Flaviana, Dk. Emmarold Mneney, Ismail Ngolinda kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Ilonga Kilosa mkoani Morogoro na Christina Kidulile


Hivyo makala Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi.

yaani makala yote Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/katibu-mkuu-wizara-ya-kilimo-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Atembelea Banda la COSTECH Viwanja Vya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi."

Post a Comment

Loading...