Loading...
title : Kesi ya Aveva, Kaburu yazidi kupigwa kalenda
link : Kesi ya Aveva, Kaburu yazidi kupigwa kalenda
Kesi ya Aveva, Kaburu yazidi kupigwa kalenda
Kwa mara nyingine tena upelelezi dhidi kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange Kaburu umedaiwa kuwa bado kukamilika na kwamba kuna nyaraka mbalimbali zimepelekwa kwa mtaalamu wa maandishi.
Wakili wa serikali, Eatazia Wilson amedai hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Victoria Nongwa, pindi kesi hiyo imekuja kwaajili ya kutajwa na kudai bado wanasubiri ripoti ya polisi.
Kufuatia taarifa hiyo, Hakimu Nongwa aliutaka upande wa jamuhuri kujitahidi kuharakisha upelelezi kwasababu washtakiwa wapo ndani na kwamba
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 8 mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.
Aveva na Kaburu wanakabiliwa na mashtaka matano ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo na kutakatisha fedha USD 300,000.
Hivyo makala Kesi ya Aveva, Kaburu yazidi kupigwa kalenda
yaani makala yote Kesi ya Aveva, Kaburu yazidi kupigwa kalenda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Aveva, Kaburu yazidi kupigwa kalenda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kesi-ya-aveva-kaburu-yazidi-kupigwa.html
0 Response to "Kesi ya Aveva, Kaburu yazidi kupigwa kalenda"
Post a Comment