Loading...
title : KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF
link : KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF
KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imepitisha jina la Kidao Wilfred kuwa Kaimu Katibu Mkuu.
Kidao ambaye ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Makocha Tanzania (TAFCA), ameteuliwa rasmi jana Agosti 22, 2017 na Kamati ya Utendaji ya TFF. Wasifu wa Kidao utawajia punde.
Hivyo makala KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF
yaani makala yote KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kidao-wilfred-kaimu-katibu-mkuu-tff.html
0 Response to "KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF"
Post a Comment