Loading...

Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS

Loading...
Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS
link : Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS

soma pia


Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS

 WAFANYABIASHARA, watendaji wa Taasisi za Umma na Binafsi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, wakati akifungua kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA mdhamini Wizara ya Biashara Viwanda na masoko zanizbar, Abdalla Juma Abdalla akizungumza na wafanyabiashara na watendaji wa taasisi binafsi, juu ya kazi za ukaguzi wa ubora wa biadhaa nchini unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Mkoa Wa Mkaoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majidi Abdalla, akizfungua mkutano wa siku moja kwa wafanyabiashara na watendaji wa Taasisi za Umma na Binafsi kuhusu kazi za ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini, unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKURUGENZI Mkuu wa ZBS Khatib Mwadini Khatib, akitoa utambulisho wa Taasisi ya Viwango kwa wafanyabiashara na watendaji wa taasisi za Umma na binafsi, kuhusu kazi za ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, akiwa na watendaji wengine wa bodi ya ZBS Zanzibar, mara baada ya kufungua mafunzo huko katika ukumbi wa maktaba Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS

yaani makala yote Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kikao-cha-siku-moja-juu-ya-kazi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS"

Post a Comment

Loading...