Loading...

KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE

Loading...
KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE
link : KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE

soma pia


KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE

Mbunge wa Ubungo ,Saed Kubenea akihutubia wakazi wa Kimara kata ya Kilungule wakati wa mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo na kuwashukuru wapiga kura wake kupitia mkutano huo,ambapo aliahidi kutoa Milioni 20 za Mfuko wa jimbo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika kata hiyo.
Wananchi wa kata ya Kilungule Kimara jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea katika mkutano wake wa hadhara
Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na mmoja wa wazee Maarufu wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob akifuatilia mkutano wa Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea Kimara Kilungule.


Hivyo makala KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE

yaani makala yote KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kubenea-atoa-milioni-20-za-mfuko-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE"

Post a Comment

Loading...