Loading...

KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO

Loading...
KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO
link : KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO

soma pia


KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO


Maisha ya ndoa huja na changamoto nyingi sana. Moja kati ya changamoto kubwa wanazo zipata wanandoa ni pale mmoja kati ya wanandoa hao anapo patwa na mtihani wa kuugua maradhi mazito kama vile kisukari au kiharusi.
Jambo hili linapotokea ndoa huyumba kwa kiasi kikubwa sana na mwisho wa siku huweza kufikia hatua ya kuvunjika kabisa.
Hata hivyo si wanandoa wote huwakimbia wenzi wao pindi wanapo patwa na matatizo makubwa hususani maradhi mazito. Mfano mzuri ni kwa mwanadada Tina ( 33 ) mkazi wa Tabata jijini Dar Es Salaam.
Wakati baadhi ya wanawake huwakimbia waume au wapenzi wao pindi wagunduapo kuwa waume au wapenzi wao hao wanakabiliwa na maradhi mazito kama vile kisukari, moyo, kiharusi nakadhalika, hali ni tofauti kwa mwanadada Tina.
Mwanadada huyu , licha ya kuendelea kuiheshimu na kuitunza ndoa yake, lakini pia amejitolea bega kwa bega kushiriki katika tiba dhidi ya maradhi mazito yanayo msumbua mume wake.
Tina anameapa kuwa atahakikisha anapambana hadi tone la mwisho la damu yake ili mradi tu mumewe aweze kupona maradhi hayo mazito yanayo msumbua.
JE NI MARADHI GANI HAYO ? NA JE TINA ANASHIRIKI VIPI KATIKA KUHAKIKISHA MUMEWE ANAPATA TIBA DHIDI YA MARADHI YANAYO MSUMBUA ?
Kuyafahamu yote haya BONYEZA :

http://ift.tt/2wLl3iN


Hivyo makala KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO

yaani makala yote KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kutana-na-mwanamke-aliye-jitolea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO"

Post a Comment

Loading...