Loading...
title : MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO
link : MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO
MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO
Baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Sido lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, wakiangalia namna mali zao zilivyoteketea bila kujua cha kufanya. Moto huo ulioanza jana usiku umeteketeza eneo kubwa la soko hilo ambapo mali zilizoteketea bado thamani yake haijafahamika. chanzo cha moto huo pia bado hakijafahamika. PICHA ZOTE NA FADHIL ATICK A.K.A MRPENGO
Muonekano wa eneo yalipokuwepo mabada ya wafanyabiashara hao baada ya kuteketea kwa moto.
Kila kitu kimeungua.
Mmoja wa wafanyabiasha akiwa amebeba sehemu ya mali za dukani kwake alizobahatika kuziokoa.
Hivyo makala MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO
yaani makala yote MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/majonzi-yatawala-jijini-mbeya-baada-ya.html
0 Response to "MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO"
Post a Comment