Loading...

MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu

Loading...
MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu
link : MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu

soma pia


MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga akimkabidhi msaada wa vifaa vya maabara, stuli za kukaliwa wanafunzi wakati wa mazoezi kwa vitendo kwa aliyekuwa mkuu wa shule ya sekondari Kishapu ambaye sasa ni mratibu elimu kata ya Sekebugora, mwalimu Hosea Somi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga akikagua mojawapo ya vyoo va nyumba za walimu katika shule ya sekondari Kiloleli kata ya Kiloleli wilayani humo.
Sehemu ya nyumba za walimu katika shule ya sekondari Kililoli kata ya Kiloleli wilayani humo ambazo ni mojawapo ya mpango wa halmashauri kuboresha sekta hiyo muhimu.

Na Robert Hokororo, Kishapu DC
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga inaendelea na mkakati wake wa kuboresha mazingira ya sekta ya elimu kwa kujenga miundombinu katika shule zake mbalimbali. Inafanya hivyo kupitia programu mbalimbali zikwemo Mpango wa kuboresha Miundombinu katika shule za sekondari (SEDP) ili kumpa mwanafunzi mazingira mazuri ya kujifunza.

Pia halmashauri hiyo kupitia Idara ya Elimu Sekondari ina jukumu kubwa la kuhakikisha shule zake zinafanya vizuri katika mitihani ya kitaifa na hatimaye kuitoa kimasomaso wilaya kitaaluma. Imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ikiwa na lengo la kupanua wigo wa elimu katika shule mbalimbali za sekondari na hivyo wanafunzi kuwa na mazingira mazuri ya kujifunza.

Wanafunzi wanapokuwa na mazingira mazuri ya elimu ikiwemo miundombinu rafiki kwao wanakuwa na ari ya kujifunza na hatimaye kufaulu. Vile vile walimu nao wanapokuwa na wamewekewa mazingira mazuri ya kufundishia huweza kufanya kazi kwa nguvu moja na kwa moyo wote. Miongoni mwa miradi hiyo ni ujenzi wa vyumba vya madarasa, nyumba za walimu, maabara na vyoo endapo vikiwa katika ubora vinakuwa motisha kubwa kwa walimu na wanafunzi.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu

yaani makala yote MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makala-ya-elimu-kishapu-yaendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKALA YA ELIMU: Kishapu yaendelea kuboresha sekta ya elimu"

Post a Comment

Loading...