Loading...

MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Loading...
MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI
link : MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

soma pia


MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mwambawahabari
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mkaa ulotengenezwa kutokana na makaratasi yaliotumika wakati alipotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea wakati wa kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Lindi
6
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhandisi Charles Tizeba akimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ubanguaji wa korosho wakati wa kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Lindi
7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu ya magonjwa na wadudu wanaoshambulia mikorosho na namna ya kutibu mimea kutoka kwa Mtafiti  kiongozi wa Zao la Korosho wa Taasisi ya utafiti wa Kilimo Nahendele Bw.Fortunus Kapinga wakati  wa kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Lindi
8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Ndendegu na Mkwe wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete (MB) wakiangalia ufugaji wa samaki wa kwenye matenki unaofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Lind
9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia karoti wakati alipotembelea na kujionea shughuli za kilimo cha mboga mboga zinazofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Lindi
10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Lindi.
2
Sehemu ya wananchi waliohudhuria.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-mhesamia-afunga-maonesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI"

Post a Comment

Loading...