Loading...
title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR
link : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Zanzibar jioni ya leo tayari kuhudhuria sherehe ya Siku ya Kizimkazi itakayoadhimishwa kesho tarehe 12 Agosti, 2017.
Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume, Makamu wa Rais amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland ambaye alikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam.
Bi. Scotland alikuwa mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland ambaye alikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam jioni ya leo. Pichani kati ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland ambaye alikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam jioni ya leo. Pichani kati ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro .

Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_11.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR"
Post a Comment