Loading...
title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE
link : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE
Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano, juu ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inafanya kazi katika vitengo mbalilmbali ndani ya maonesho ya Nanene yalifikia kilele jana katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akipokea mfuko wenye taarifa mbalimbali kutoka kwa Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Vicky Msina katika maonesho ya Nanene yalifikia kilele jana katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika maonesho ya Nanene yalifikia kilele jana katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Waziri wa Kilimo , Mifugo na Uvuvi, Charle’s Tizeba akipata maelezo kutoka Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Bestina Magutu juu Mamlaka hiyo inavyofanya kazi katika maonesho ya Nanenane yaliyofikia kilele jana katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Afisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa na Meneja wa Kanda ya Kusini (TFDA), Dogratius Ngatunga akitoa maelezo kwa mwananchi aliyetembelea banda la TFDA katika maonesho ya Nanenane mkoani Lindi juu ya madhara ya vipodozi.
Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu akipata maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa PBZ, Aisha Mohamed wakati Makamu wa Rais alipotembelea banda la PBZ katika maonesho ya Nanenane yaliyofikia kilele jana katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu akimpa kikombe cha mshindi wa jumla wa maonesho ya Nanenane mkoani Lindi, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenaerali , Michael Isamuhyo.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_9.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE"
Post a Comment