Loading...
title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.
Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume, Makamu wa Rais amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland ambaye alikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dk. Asha-Rose Migiro.
Bi. Scotland alikuwa mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.
yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano_12.html
0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola."
Post a Comment