Loading...

MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO

Loading...
MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO
link : MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO

soma pia


MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO



Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Benjamin Sitta akizungumza na watumishi wa serikali na wanafunzi mapema jana katika hafla ya kupokea msaada wa shule ya sekondari ya Maendeleo yenye thamani ya sh milioni 800 iliyojengwa na kampuni ya magari ya (KIA) ya Korea Kusini na Good Neighbors jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Good Neighbour ambao ndio wadhamini wa shule hiyo,Namun Heo akizungunza na watumishi wa serikali katika hafla ya kukabidhi majengo ya shule ya sekondari ya Maendeleo yenye thamani ya sh milioni 800 iliyojengwa na kampuni ya magari ya (KIA) ya Korea Kusini na Good Neighbors,jijini Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Benjamin Sitta (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Good Neighbour,Namun Heo (kulia) wakisani hati ya makabidhiano ya shule ya sekondari ya Maendeleo iliyojengwa na kampuni ya magari ya (KIA) ya Korea Kusini na Good Neighbors,mapema jana jijini Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Benjamin Sitta (wa kwanza kushoto) akiwa ameambata na watumishi wa serikali wakikagua moja ya majengo ya shule hiyo.

Muonekano wa shule ya sekondari ya Maendeleo yenye thamani ya sh milioni 800 iliyojengwa na kampuni ya magari ya (KIA) ya Korea Kusini na Good Neighbors jana jijini Dar es Salaam.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.


Hivyo makala MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO

yaani makala yote MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/manispaa-ya-kinondoni-yakabidhiwa-shule.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO"

Post a Comment

Loading...