Loading...
title : Masauni awataka wananchi kuwafichua wahalifu, aamuru ujenzi wa kituo cha polisi Mbande uanze mara moja
link : Masauni awataka wananchi kuwafichua wahalifu, aamuru ujenzi wa kituo cha polisi Mbande uanze mara moja
Masauni awataka wananchi kuwafichua wahalifu, aamuru ujenzi wa kituo cha polisi Mbande uanze mara moja
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wananchi wa Mbande, Kata ya Chamazi, Tarafa ya Mbagala, Wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam, wakati alipofanya ziara katika eneo hilo yenye lengo la kuimarisha ulinzi na usalama katika eneo hilo. Hata hivyo, Masauni aliamuru ujenzi wa Kituo cha Polisi Mbande ambao utajengwa kwa michango ya wananchi na Serikali uanze mara moja, na pia aliwataka wananchi kutoa taarifa kwa kuwafichua askari polisi wanaohisiwa kushirikiana na wahalifu katika eneo hilo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Mkazi wa Mbande, Mbagala, jijini Dar es Salaam, Muhidin Maftaa alipokua anamuuliza swali kuhusu hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Ambaye alifanya ziara katika eneo hilo yenye lengo la kuimarisha ulinzi na usalama, aliamuru ujenzi wa Kituo cha Polisi Mbande ambao utajengwa kwa michango ya wananchi na Serikali uanze mara moja, na pia aliwataka wananchi kutoa taarifa kwa kuwafichua askari polisi wanaohisiwa kushirikiana na wahalifu katika eneo hilo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, jijini Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Gilles Muroto,alipokuwa anajibu mswali mbalimbali ya wananchi wa Mtaa wa Magengeni Mbande, Mbagala, jijini Dar es Salaam. Masauni alifanya ziara katika eneo hilo yenye lengo la kuimarisha ulinzi na usalama na aliamuru ujenzi wa Kituo cha Polisi Mbande ambao utajengwa kwa michango ya wananchi na Serikali uanze mara moja, na pia aliwataka wananchi kutoa taarifa kwa kuwafichua askari polisi wanaohisiwa kushirikiana na wahalifu katika eneo hilo.
habari kamili BOFYA HAPA
habari kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala Masauni awataka wananchi kuwafichua wahalifu, aamuru ujenzi wa kituo cha polisi Mbande uanze mara moja
yaani makala yote Masauni awataka wananchi kuwafichua wahalifu, aamuru ujenzi wa kituo cha polisi Mbande uanze mara moja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Masauni awataka wananchi kuwafichua wahalifu, aamuru ujenzi wa kituo cha polisi Mbande uanze mara moja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/masauni-awataka-wananchi-kuwafichua.html
0 Response to "Masauni awataka wananchi kuwafichua wahalifu, aamuru ujenzi wa kituo cha polisi Mbande uanze mara moja"
Post a Comment